John 12:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya alisema tena:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiyo sababu wao hawakuweza kusadiki; kwa maana Isaya alisema tena,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hii ndiyo sababu watu hawakuweza kuamini. Kwani Isaya alisema pia,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya tena alisema:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya alisema tena:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiyo sababu wao hawakuweza kusadiki; kwa maana Isaya alisema tena,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya alisema tena:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii hawakuweza kumtegemea, kwani Yesaya alisema tena:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiyo sababu wao hawakuweza kusadiki; kwa maana Isaya alisema tena,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawangeweza vilevile kuamini, kufuatana na maneno haya Mungu aliyomwambia Isaya tena:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa sababu hii hawakuweza kuamini, kwa sababu Isaya alisema tena,