John 12:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Yuda Iskariote mwana wa Simoni, mmoja wa wanafunzi wa Isa, ambaye baadaye angemsaliti Isa, akasema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yuda Iskariote, mmojawapo wa wanafunzi wake, ambaye ndiye atakaye kumsaliti, akasema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yuda Iskariote, mmoja wa wafuasi wa Yesu, naye alikuwepo hapo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Yuda Iskariote mwana wa Simoni, mmoja wa wale wanafunzi ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Yuda Iskariote mwana wa Simoni, mmoja wa wale wanafunzi ambaye ndiye angemsaliti Isa, akasema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yuda Iskarioti, mmojawapo wa wanafunzi wake, ambaye ndiye atakayemsaliti, akasema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuda Iskariota, mmoja wao wanafunzi wake, ndiye aliyemchongea halafu, akasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yuda Iskariote, mmojawapo wa wanafunzi wake, ambaye ndiye atakaye kumsaliti, akasema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yuda Iskariota, mumoja wa wanafunzi wa Yesu, yule atakayemutoa, akasema:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Yuda Iskariote, mwana wa Simon, mmoja wa wanafunzi wake, aliye tayari kumsaliti, akanena,