John 12:41 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isaya alisema maneno haya kwa sababu aliuona utukufu wa Yesu, akasema habari zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isaya alisema haya alipoona utukufu wa Isa na kunena habari zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maneno hayo aliyasema Isaya, kwa kuwa aliuona utukufu wake, akataja habari zake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Isaya alisema hivi kwa sababu aliuona ukuu wa Mungu ndani ya Yesu. Naye alizungumza habari zake Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Isaya alisema maneno haya kwa sababu aliuona utukufu wa Yesu, akasema habari zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isaya alisema maneno haya kwa sababu aliuona utukufu wa Yesu, akasema habari zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Isaya alisema haya alipoona utukufu wa Yesu na kunena habari zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isaya alisema haya alipoona utukufu wa Isa na kunena habari zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maneno hayo aliyasema Isaya, kwa kuwa aliuona utukufu wake, akataja habari zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isaya alisema maneno haya kwa sababu aliuona utukufu wa Yesu, akasema habari zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesaya aliyasema hayo, kwani aliuona utukufu wake, akayasema mambo yake yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maneno hayo aliyasema Isaya, kwa kuwa aliuona utukufu wake, akataja habari zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isaya alisema maneno haya kwa sababu aliona kwa mbali utukufu wa Yesu, naye alisema habari zake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maneno hayo aliyasema Isaya alipouona utukufu wake, akataja khabari zake.