John 12:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari 300, wakapewa maskini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari mia tatu, na fedha hizo wakapewa maskini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbona marhamu hii haikuuzwa kwa dinari mia tatu, wakapewa maskini?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yuda ambaye baadaye angemkabidhi Yesu kwa maadui zake akasema, “Manukato hayo yana thamani ya mshahara wa mwaka wa mtu. Bora yangeuzwa, na fedha hizo wangepewa maskini.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari mia tatu, wakapewa maskini?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari 300, wakapewa maskini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300 na fedha hizo wakapewa maskini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300 na fedha hizo wakapewa maskini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbona marhamu hii haikuuzwa kwa dinari mia tatu, wakapewa maskini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari 300, wakapewa maskini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu gani mafuta haya hayakuuzwa kwa shilingi 300, wakapewa maskini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbona marhamu hii haikuuzwa kwa dinari mia tatu, wakapewa maskini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwa sababu gani marasi hii ya bei kali haikuuzishwa kwa bei ya vikoroti mia tatu vya feza na kuwagawanyia wamasikini mali ile?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mbona marhamu haya hayakuuzwa kwa dinari mia tatu, na kupewa maskini?