John 12:50 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami najua kuwa amri yake huleta uhai wa milele. Basi, mimi nasema tu yale Baba aliyoniagiza niyaseme.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami ninajua amri zake huongoza hadi kwenye uzima wa milele. Hivyo lolote nisemalo, ndilo lile Baba aliloniambia niseme.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nami najua amri za Mungu kwamba lolote alisemalo na kutenda litawaletea watu uzima wa milele, kama watazifanya. Hivyo mambo ninayosema ni yale ambayo Baba yangu ameniambia niyaseme.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nami najua kuwa amri yake huleta uzima wa milele. Basi, mimi nasema tu yale Baba aliyoniagiza niyaseme.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami najua kuwa amri yake huleta uhai wa milele. Basi, mimi nasema tu yale Baba aliyoniagiza niyaseme.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami ninajua amri zake huongoza hadi kwenye uzima wa milele. Hivyo lo lote nisemalo, ndilo lile Baba aliloniambia niseme.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami ninajua amri zake huongoza hadi kwenye uzima wa milele. Hivyo lolote nisemalo, ndilo lile Baba aliloniambia niseme.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami najua kuwa amri yake huleta uhai wa milele. Basi, mimi nasema tu yale Baba aliyoniagiza niyaseme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nayajua, aliyoyaagiza, ya kuwa ni uzima wa kale na kale. Basi, ninayoyasema, ninayasema, kama Baba alivyoniambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami ninajua kama amri yake inaleta uzima wa milele. Ni kwa hiyo maneno ninayosema, ninayasema tu kama vile Baba alivyoniagiza.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele: bassi haya ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.