John 12:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yesu akasema, “Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili ya siku ya mazishi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yesu alisema, Mwache aiweke kwa siku ya maziko yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akajibu, “Msimzuie. Ilikuwa sahihi kwake kutunza manukato haya kwa ajili ya siku ya leo; siku ambayo maziko yangu yanaandaliwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Yesu akasema, “Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili ya siku ya mazishi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yesu akasema, “Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili ya siku ya mazishi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yesu alisema, Mwache aiweke kwa siku ya maziko yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yesu akasema, “Msimsumbue huyu mama! Mwacheni ayaweke kwa ajili ya siku ya mazishi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akasema: Umwache! Maana alikuwa ameyawekea siku ya kuzikwa kwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yesu alisema, Mwache aiweke kwa siku ya maziko yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu akasema: “Umwache kimya, kwa maana alikuwa ameweka marasi hii kwa ajili ya siku ya maziko yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Yesu alisema, Mwache, ameyaweka haya kwa siku ya maziko yangu.