John 12:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini hamtakuwa nami siku zote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana maskini mnao sikuzote pamoja nanyi; bali mimi hamnami sikuzote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nyakati zote mtaendelea kuwa pamoja na hao maskini. Lakini si kila siku mtakuwa pamoja nami.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini hamtakuwa nami siku zote.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini hamtakuwa nami siku zote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maskini mnao siku zote lakini mimi hamko pamoja nami siku zote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana maskini mnao siku zote pamoja nanyi; bali mimi hamko nami siku zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini hamtakuwa nami siku zote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani maskini mnao kwenu siku zote, lakini mimi hamwi nami siku zote.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana maskini mnao sikuzote pamoja nanyi; bali mimi hamnami sikuzote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutakuwa na wamasikini pamoja nanyi siku zote, lakini hamutakuwa nami siku zote.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana maskini mnao siku zote pamoja nauyi; bali mimi hamnami siku zote.