John 13:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mwanafunzi akamwegemea Isa, akamuuliza, “Bwana, tuambie, ni nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi yeye, hali akimwelekea Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule mfuasi alisogea karibu sana na Yesu na kumwuliza, “Bwana, ni nani huyo?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mwanafunzi akiwa amemwegemea Yesu akamwuliza, “Bwana tuambie ni nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mwanafunzi akamwegemea Isa, akamuuliza, “Bwana, tuambie, ni nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi yeye, huku akimwelekea Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na Yesu, akamwuliza, “Bwana, ni nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yule aliyemwegamia Yesu kifuani akamwuliza: Bwana, ni nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi yeye, hali akimwelekea Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yule mwanafunzi akamwegamia Yesu na kumwuliza: “Bwana, ni nani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi yeye akimwegamia Yesu kifua chake, akamwambia, Bwana, ni nani?