John 13:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa wameketi naye mezani aliyeelewa kwa nini Isa alimwambia hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hakuna mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu ya kumwambia hivyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hakuna hata mmoja pale mezani aliyeelewa kwa nini Yesu alimwambia Yuda hayo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa ameketi nao chakulani aliyeelewa kwa nini Yesu alimwambia hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna hata mmoja wa wale waliokuwa wameketi naye mezani aliyeelewa kwa nini Isa alimwambia hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hakuna mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu ya kumwambia hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hakuna hata mmoja wa wale waliokaa pale mezani aliyefahamu kwa nini alikuwa amemwambia hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wale waliokaa chakulani hakuna aliyeitambua sababu ya kumwambia hivyo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hakuna mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu ya kumwambia hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Hakuna mutu kati ya wale waliokaa kwenye chakula aliyefahamu sababu gani Yesu alimwambia vile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala hapana mtu katika wale walioketi chakulani aliyeijua sababu hatta akamwambia hivi.