John 13:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na kama utukufu wa Mungu umefunuliwa ndani ya Mwana, basi, naye Mungu ataudhihirisha utukufu wa Mwana ndani yake mwenyewe, na atafanya hivyo mara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa Mungu ametukuzwa ndani ya Mwana, Mungu atamtukuza Mwana ndani yake mwenyewe, naye atamtukuza mara moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu naye atamtukuza ndani ya nafsi yake; naye atamtukuza mara.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kama Mungu hupokea utukufu kupitia kwake, atampa Mwana Utukufu kupitia kwake yeye mwenyewe. Na hilo litatimia haraka sana.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na kama utukufu wa Mungu umefunuliwa ndani ya Mwana, basi, naye Mungu ataudhihirisha utukufu wa Mwana ndani yake mwenyewe, na atafanya hivyo mara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na kama utukufu wa Mungu umefunuliwa ndani ya Mwana, basi, naye Mungu ataudhihirisha utukufu wa Mwana ndani yake mwenyewe, na atafanya hivyo mara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa Mungu ametukuzwa ndani ya Mwana, Mungu atamtukuza Mwana ndani yake mwenyewe naye atamtukuza mara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa Mungu ametukuzwa ndani ya Mwana, Mungu atamtukuza Mwana ndani yake mwenyewe naye atamtukuza mara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu naye atamtukuza ndani ya nafsi yake; naye atamtukuza mara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na kama utukufu wa Mungu umefunuliwa ndani ya Mwana, basi, naye Mungu ataudhihirisha utukufu wa Mwana ndani yake mwenyewe, na atafanya hivyo mara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Mungu alitukuzwa kwake, yeye Mungu atamtukuza kwake mwenyewe, tena atamtukuza upesi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu naye atamtukuza ndani ya nafsi yake; naye atamtukuza mara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ikiwa Mungu ametukuzwa kwa njia yake, basi Mungu vilevile atamutukuza Mwana kwa njia yake mwenyewe, naye atamutukuza bila kukawia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mungu akiwa ametukuzwa ndani yake, Mungu nae atamtukuza ndani ya nafsi yake; na marra atamtukuza.