John 13:36 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unaenda wapi?” Isa akamjibu, “Ninakoenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwendapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Simoni Petro akamwuliza Yesu, “Bwana, unaenda wapi?” Yesu akajibu, “Kule niendako hamwezi kunifuata sasa. Lakini mtanifuata baadaye.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akamjibu, “Ninakokwenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Isa akamjibu, “Ninakokwenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Simoni Petero akamwambia: Bwana, unakwenda wapi? Yesu akajibu: Pale ninapokwenda, huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata halafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwendapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simoni Petro akamwuliza: “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akamujibu: “Hauwezi kunifuata sasa pahali ninapokwenda, lakini utanifuata nyuma.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Simon Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako, huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadae.