John 13:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
aliondoka chakulani, akavua vazi lake la nje, akajifunga kitambaa kiunoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo walipokuwa wakila, Yesu alisimama na kulivua vazi lake. Akachukua taulo na kuifunga kiunoni mwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Yesu aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hivyo aliondoka chakulani, akavua vazi lake la nje, akajifunga kitambaa kiunoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hivyo aliondoka chakulani, akavua vazi lake la nje, akajifunga kitambaa kiunoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akainuka penye chakula, akaivua kanzu yake, akatwaa kitambaa cha ukonge, akajifunga kiunoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
aliondoka chakulani; akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifunga kiunoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akaondoka kwenye chakula, akavua kanzu yake, akajifunga kitambaa katika kiuno.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akaondoka chakulani, akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifungia.