John 13:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Simoni Petro akamjibu, “Bwana, nioshe, si miguu tu, bali na mikono yangu na kichwa pia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Simoni Petro akajibu, “Usininawishe miguu peke yake, Bwana, bali pamoja na mikono na kichwa pia!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Simoni Petro akamwambia, Bwana, si miguu yangu tu, hata na mikono yangu na kichwa changu pia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Simoni Petro akasema, “Bwana, utakapomaliza miguu, unioshe mikono na kichwa pia!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Simoni Petro akamwambia, “Bwana, nioshe, si miguu tu, bali na mikono yangu na kichwa pia.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Simoni Petro akamjibu, “Bwana, nioshe, si miguu tu, bali na mikono yangu na kichwa pia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Simoni Petro akajibu, “Usininawishe miguu peke yake, bali pamoja na mikono na kichwa pia!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Simoni Petro akajibu, “Usininawishe miguu peke yake, Bwana, bali pamoja na mikono na kichwa pia!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Simoni Petro akamwambia, Bwana, si miguu yangu tu, hata na mikono yangu na kichwa changu pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Simoni Petro akamjibu, “Bwana, nioshe, si miguu tu, bali na mikono yangu na kichwa pia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Simoni Petero alipomwambia: Bwana, usinioshe miguu tu, nioshe hata mikono na kichwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Simoni Petro akamwambia, Bwana, si miguu yangu tu, hata na mikono yangu na kichwa changu pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simoni Petro akamwambia tena: “Basi Bwana, ikiwa ni vile usininawishe miguu tu, lakini uninawishe mikono na kichwa vilevile.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Simon Petro akamwambia, Bwana, si miguu yangu tu, hatta mikono yangu na kichwa changu pia.