John 15:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayenichukia mimi, anamchukia na Baba yangu pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote anayenichukia mimi, anamchukia pia na Baba yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye anichukiaye mimi humchukia na Baba yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeyote anayenichukia mimi anamchukia na Baba pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anayenichukia mimi, anamchukia na Baba yangu pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayenichukia mimi, anamchukia na Baba yangu pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote anayenichukia mimi, anamchukia pia na Baba yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote anayenichukia mimi, anamchukia pia na Baba yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye anichukiaye mimi humchukia na Baba yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayenichukia mimi, anamchukia na Baba yangu pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kunichukia mimi humchukia naye Baba yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye anichukiaye mimi humchukia na Baba yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayenichukia mimi anamuchukia Baba yangu vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Anichukiae mimi, humchukia na Baba yangu.