John 15:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiyo maana yale yaliyoandikwa katika sheria yao ni kweli: ‘Wamenichukia bure!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hii ni kutimiza lile neno lililoandikwa kwenye Torati kwamba, ‘Walinichukia pasipo sababu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini litimie lile neno lililoandikwa katika torati yao, Walinichukia bure.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini haya yalitokea ili kuweka wazi yaliyoandikwa katika sheria zao: ‘Walinichukia bila sababu yoyote.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na hivi ni lazima yatimie yale yaliyoandikwa katika Sheria yao: Wamenichukia bure!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiyo maana yale yaliyoandikwa katika sheria yao ni kweli: ‘Wamenichukia bure!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hii ni kutimiza lile neno lililoandikwa kwenye Torati kwamba ‘Walinichukia pasipo sababu.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hii ni kutimiza lile neno lililoandikwa kwenye Torati kwamba, ‘Walinichukia pasipo sababu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini litimie lile neno lililoandikwa katika torati yao, Walinichukia bure.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiyo maana yale yaliyoandikwa katika sheria yao ni kweli: ‘Wamenichukia bure!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sharti litimie neno lililoandikwa katika Maonyo yao ya kwamba: Walinichukia bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini litimie lile neno lililoandikwa katika torati yao, Walinichukia bure.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wamefanya hivi kusudi maneno haya yaliyoandikwa katika Sheria yao yatimie: ‘Wamenichukia pasipo sababu.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini litimie neno lililoandikwa katika sharia yao, Walinichukia burre.