John 16:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kuhusu uadilifu, kwa sababu nakwenda zangu kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa habari ya haki, kwa sababu ninaenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Atawaonesha jinsi wasivyoelewa mtu anavyohesabiwa haki na Mungu. Hakika mimi nina kibali kwa sababu naenda kwa Baba nanyi hamtaniona tena.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kuhusu uadilifu, kwa sababu naenda zangu kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kuhusu uadilifu, kwa sababu nakwenda zangu kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa habari ya haki, kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa habari ya haki, kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kuhusu uadilifu, kwa sababu nakwenda zangu kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hawana la kujikania, kwa kuwa nakwenda kwa Baba, nanyi hamnioni tena;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa habari ya haki, kwa sababu mimi naenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuelekea haki ni kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamutaniona tena.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa khabari ya haki, kwa sababu nakwenda zangu kwa Baba, wala hamnioni tena;