John 16:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kuhusu hukumu, kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Naye atawaonesha watu wa ulimwengu huu jinsi hukumu yao isivyo sahihi, kwa sababu mkuu wao ulimwenguni amekwisha hukumiwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kuhusu hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kuhusu hukumu, kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kuhusu hukumu, kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wapaswa na kuhukumiwa, kwa kuwa mtawala ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kuelekea hukumu ni kwa sababu mutawala wa dunia hii amekwisha kuhukumiwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa khabari ya hukumu, kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amehukumiwa.