John 16:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye atanitukuza mimi kwa kuwa atawajulisheni yale atakayopata kutoka kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atanitukuza mimi, kwa maana atayachukua yaliyo yangu na kuwajulisha ninyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Roho wa kweli atanipa mimi utukufu kwa kuwaeleza ninyi yote aliyopokea kutoka kwangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye atanitukuza mimi kwa kuwa atawaambieni yale atakayopata kutoka kwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye atanitukuza mimi kwa kuwa atawajulisheni yale atakayopata kutoka kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atanitukuza mimi, kwa maana atayachukua yaliyo yangu na kuwajulisha ninyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atanitukuza mimi, kwa maana atayachukua yaliyo yangu na kuwajulisha ninyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye atanitukuza mimi kwa kuwa atawajulisheni yale atakayopata kutoka kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye atakayenitukuza, kwani katika yale yaliyo yangu ndimo, atakamoyatwaa, atakayowatangazia ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye atanitukuza mimi, kwa kuwa atatwaa katika yaliyo yangu na kuwapasha habari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye atanitukuza mimi kwa sababu maneno atakayowaambia yatatokana na yale yanayokuwa ndani yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yeye atanitukuza mimi: kwa kuwa atatwaa katika iliyo yangu, atawapasheni khabari.