John 17:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana katika hao ulionipa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu, nami nimetukuzwa ndani yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu; nami nimetukuzwa ndani yao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Vyote nilivyo navyo ni vyako, na vyote ulivyo navyo ni vyangu. Kisha utukufu wangu umeonekana ndani yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana ndani yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana katika hao ulionipa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote walio wangu ni wako na walio wako ni wangu, nami nimetukuzwa ndani yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote walio wangu ni wako na walio wako ni wangu, nami nimetukuzwa ndani yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu; nami nimetukuzwa ndani yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana katika hao ulionipa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo yote yaliyo yangu ni yako, nayo yaliyo yako ni yangu; namo mwao ndimo, nilimotukuzwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu; nami nimetukuzwa ndani yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na yote ninayokuwa nayo ni yako, na yote unayokuwa nayo ni yangu, nami nimetukuzwa kwa njia yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na yote yaliyo yangu ni yako, na yaliyo yako ni yangu: nami nimetukuzwa ndani yao.