John 17:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa ajili yao najiweka wakfu mwenyewe, ili na hao watakaswe katika kweli.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nami najiweka tayari kabisa kukutumikia wewe. Ninafanya hivi kwa ajili yao ili wao nao wawe wamekamilika kukutumikia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa ajili yao najiweka wakfu mwenyewe, ili na hao watakaswe katika kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ndio, ninaojitakasia mwenyewe, kwamba nao wawe watu waliotakaswa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa ajili yao najiweka wakfu mwenyewe, ili na hao watakaswe katika kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninajitoa kwako kabisa mimi mwenyewe kwa ajili yao, kusudi wao vilevile wapate kujitoa kwako kabisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kwa ajili yao najitakasa, illi na hawa watakaswe katika kweli.