John 17:20 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siwaombei tu hao wafuasi wangu lakini nawaombea pia wale watakaoniamini kutokana na mafundisho yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini si hawa tu, ninaowaombea, ila nawaombea hata wale watakaonitegemea wakilisikia neno lao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Siwaombei hawa tu, lakini ninawaombea vilevile wale watakaoamini kwa sababu ya mafundisho yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala si hao tu ninaowaombea, bali na wao walakaoniammi kwa sababu ya neno lao.