John 17:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale ulionipa, maana ni wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninawaombea wao. Siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mimi ninawaombea hao sasa. Siwaombei watu walioko ulimwenguni. Bali nawaombea wale watu ulionipa, kwa sababu hao ni wako.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea hao ulionipa, maana ni wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale ulionipa, maana ni wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale ulionipa, maana ni wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nawaombea hao, siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale tu, ulionipa, kwani ni wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ninawaombea wao; siwaombei watu wa dunia, lakini hao ulionipa, kwa sababu wao ni wako.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu, bali wao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako.