John 18:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Isa kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu habari za wanafunzi wake, na habari za mafundisho yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu maswali kuhusu wafuasi wake pamoja na mafundisho aliyowapa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Kuhani akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo Kuhani Mkuu akawa anamwuliza Yesu kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Isa kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu kuhusu wanafunzi wake, na kuhusu mafundisho yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji mkuu alipomwuliza Yesu kwa ajili ya wanafunzi wake na kwa ajili ya mafundisho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu habari za wanafunzi wake, na habari za mafundisho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani Mukubwa akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na juu ya mafundisho yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi kuhani mkuu akamwuliza Yesu khabari za wanafunzi wake, na khabari za mafundisho yake.