John 18:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale waliosikia yale niliyowaambia. Wanajua niliyoyasema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ya nini kuniuliza mimi? Waulize wale waliosikia ni nini niliyowaambia; wao wanajua niliyoyanena.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa kwa nini unaniuliza? Waulize watu waliosikia mafundisho yangu. Wao wanajua niliyosema!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua nilivyosema.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale walionisikia yale niliyowambia. Wao wanajua niliyosema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale walionisikia yale niliyowaambia. Wao wanajua niliyosema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ya nini kuniuliza mimi? Waulize wale waliosikia ni nini niliyowaambia; wao wanajua niliyoyanena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unaniulizaje? Uwaulize walionisikia, niliyowaambia! Tazama, hao wanayajua, niliyoyasema mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ya nini kuniuliza mimi? Waulize wale waliosikia ni nini niliyowaambia; wao wanajua niliyoyanena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi kwa sababu gani unaniuliza mimi? Uwaulize wale waliosikia mambo niliyosema, kwa maana wanajua vizuri nini niliyosema.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ya nini kumuliza? waulize wale waliosikia, ni nini niliyosema nao: wao wanajua niliyowaambia.