John 18:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Anasi akampeleka Yesu akiwa amefungwa, kwa kuhani mkuu Kayafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Anasi akampeleka Isa kwa kuhani mkuu Kayafa, akiwa bado amefungwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Anasi akampeleka hali amefungwa kwa Kayafa, Kuhani Mkuu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Anasi akampeleka Yesu kwa Kayafa kuhani mkuu. Naye alikuwa bado amefungwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Anasi akampeleka Yesu akiwa amefungwa, kwa Kuhani Mkuu Kayafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Anasi akampeleka Yesu akiwa amefungwa, kwa kuhani mkuu Kayafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Anasi akampeleka Yesu kwa Kuhani Mkuu Kayafa, akiwa bado amefungwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Anasi akampeleka Isa kwa kuhani mkuu Kayafa, akiwa bado amefungwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Anasi akampeleka akiwa amefungwa kwa Kayafa, Kuhani Mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Anasi akampeleka Yesu akiwa amefungwa, kwa kuhani mkuu Kayafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, Ana akampeleka kwa mtambikaji mkuu Kayafa hivyo, alivyokuwa amefungwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Anasi akampeleka hali amefungwa kwa Kayafa, Kuhani Mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Anasi akamutuma Yesu, akiwa amefungwa, kwa Kayafa Kuhani Mukubwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Anna akampeleka amefungwa kwa Kayafa kuhani mkuu.