John 18:26 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, ndugu yake yule mtu ambaye Petro alikuwa amemkata sikio, akamuuliza, “Je, mimi sikukuona kule bustanini ukiwa na Isa?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtumwa mmojawapo wa Kuhani Mkuu, naye ni jamaa yake yule aliyekatwa sikio na Petro, akasema, Je! Mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu alikuwapo pale. Naye alikuwa ni jamaa wa mtu yule aliyekatwa sikio na Petro. Mtumishi akamwambia Petro, “Nadhani nilikuona pamoja naye pale kwenye bustani!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmoja wa watumishi wa Kuhani Mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmoja wa watumishi wa Kuhani Mkuu, ndugu yake yule mtu ambaye Petro alikuwa amemkata sikio, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona kule bustanini ukiwa na Yesu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, ndugu yake yule mtu ambaye Petro alikuwa amemkata sikio, akamuuliza, “Je, mimi sikukuona kule bustanini ukiwa na Isa?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtumwa mmojawapo wa Kuhani Mkuu, naye ni jamaa yake yule aliyekatwa sikio na Petro, akasema, Je! Mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, “Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miongoni mwao watumwa wa mtambikaji mkuu mlikuwamo mmoja aliyekuwa ndugu yake yule, Petero aliyemkata sikio, akasema: Mimi sikukuona kule kiungani pamoja naye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtumwa mmojawapo wa Kuhani Mkuu, naye ni jamaa yake yule aliyekatwa sikio na Petro, akasema, Je! Mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutumishi mumoja wa Kuhani Mukubwa, aliyekuwa ndugu ya mutu yule Petro aliyemukata sikio, akamwambia: “Mimi sikukuona kule katika bustani pamoja naye?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mmoja wa wale watumishi wa kuhani mkuu, ni jamaa yule aliyekatwa sikio na Petro, akasema, Mimi sikukuona bustanini pamoja nae?