John 18:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro akakana tena; mara jogoo akawika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mara nyingine tena Petro akakana, naye jogoo akawika wakati huo huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Petro akakana tena, na mara akawika jimbi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini kwa mara nyingine Petro akasema, “Hapana, sikuwa pamoja naye!” Mara tu alipomaliza kusema hayo, jogoo akawika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro akakana tena; mara jogoo akawika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro akakana tena; mara jogoo akawika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mara nyingine tena Petro akakana, naye jogoo akawika wakati uo huo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mara nyingine tena Petro akakana, naye jogoo akawika wakati huo huo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Petro akakana tena, na mara jogoo akawika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro akakana tena; mara jogoo akawika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Petero akakana tena; mara hiyo jogoo akawika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Petro akakana tena, na mara akawika jimbi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Petro akakana tena, na pale pale jogoo akawika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Petro akakana tena, jogoo akawika marra.