John 18:32 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ilifanyika hivyo yapate kutimia maneno aliyosema Yesu kuonesha atakufa kifo gani.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walisema hivyo ili yale maneno aliyosema Isa kuhusu kifo atakachokufa yapate kutimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili litimie lile neno lake Yesu alilolisema, akionyesha ni mauti gani atakayokufa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
(Hii ilikuwa ni kuonesha ukweli wa yale aliyosema Yesu juu ya jinsi ambavyo angekufa.)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
(Ilifanyika hivyo yapate kutimia maneno aliyosema Yesu kuonyesha atakufa kifo gani.)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ilifanyika hivyo yapate kutimia maneno aliyosema Yesu kuonesha atakufa kifo gani.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walisema hivyo ili yale maneno aliyosema Yesu kuhusu kifo atakachokufa yapate kutimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walisema hivyo ili yale maneno aliyosema Isa kuhusu kifo atakachokufa yapate kutimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili litimie lile neno lake Yesu alilolisema, akionesha ni mauti gani atakayokufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ilifanyika hivyo yapate kutimia maneno aliyosema Yesu kuonesha atakufa kifo gani.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilikuwa hivyo, litimie lile neno, Yesu alilolisema na kuonyesha kufa kulikomngoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili litimie lile neno lake Yesu alilolisema, akionyesha ni mauti gani atakayokufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Ilifanyika hivi kusudi litimie lile neno Yesu alilosema kwa kuonyesha kifo gani atakachokufa.)
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi neno lake Yesu litimizwe, alilolisema, akionyesha ni mauti gani atakayokufa.