John 18:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamjibu, “Je, unauliza swali hili kutokana na mawazo yako mwenyewe, au uliambiwa na watu kunihusu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akamjibu, Wewe wasema hivi kwa nafsi yako, au watu wengine walikuambia habari zangu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akajibu, “Je, hilo ni swali lako mwenyewe au watu wengine wamekuambia juu yangu?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekwambia habari zangu?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamjibu, “Je, unauliza swali hili kutokana na mawazo yako mwenyewe au uliambiwa na watu kunihusu mimi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamjibu, “Je, unauliza swali hili kutokana na mawazo yako mwenyewe, au uliambiwa na watu kunihusu mimi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akamjibu, Wewe wasema hivi kwa nafsi yako, au watu wengine walikuambia habari zangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamjibu, “Je, hayo ni maneno yako au wengine wamekuambia habari zangu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akajibu: Wasema hivi kwa mawazo yako mwenyewe, au wako wengine waliokusimulia mambo yangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akamjibu, Wewe wasema hivi kwa nafsi yako, au watu wengine walikuambia habari zangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akajibu: “Unasema hivi kutokana na mawazo yako mwenyewe au watu wengine wamekuambia habari zangu?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akajibu, Wewe wasema hivi kwa nafsi yako, ama watu wengine walikuambia khabari zangu?