John 18:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Isa Al-Nasiri.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akawauliza tena, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akawauliza tena, “Je, ni nani mnayemtafuta?” Wakasema, “Yesu kutoka Nazareti.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu wa Nazareti!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Yesu wa Nazareti.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Nao wakamjibu, “Isa Al-Nasiri.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akawauliza tena, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu Mnazareti!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowauliza tena: Mwamtafuta nani? wakasema: Yesu wa Nasareti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akawauliza tena, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawauliza tena: “Munamutafuta nani?” Nao wakasema: “Yesu wa Nazareti.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi akawauliza marra ya pili, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti.