John 19:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Askari wakasokota taji la miiba, wakamvika Isa kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi la zambarau.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Askari wakatengeneza taji kutokana na matawi yenye miiba na kuiweka kichwani kwake. Kisha wakamzungushia vazi la rangi ya zambarau mwilini mwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Askari wakasokota taji ya miiba wakamvika Yesu kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Askari wakasokota taji ya miiba, wakamvika Isa kichwani. Wakamvalisha joho la zambarau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao askari wakasokota taji la miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi la zambarau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha askari wakasuka kilemba cha miiba, wakamvika kichwani, wakamvika hata nguo ya kifalme,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi la zambarau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kwa kumuchekelea, waaskari wakasokota taji na tawi lenye miiba na kumuvalisha nalo juu ya kichwa; vilevile wakamuvalisha nguo nyekundu-nyeusi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi jekundu; wakawa wakimwendea,