John 19:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, makuhani wakuu wakamwambia Pilato, “Usiandike: ‘Mfalme wa Wayahudi,’ ila ‘Yeye alisema, Mimi ni Mfalme wa Wayahudi.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa makuhani wa Wayahudi wakapinga, wakamwambia Pilato, “Usiandike ‘Mfalme wa Wayahudi,’ bali andika kwamba mtu huyu alisema yeye ni mfalme wa Wayahudi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakuu wa makuhani na Wayahudi wakamwambia Pilato, Usiandike, Mfalme wa Wayahudi; bali ya kwamba yule alisema, Mimi ni mfalme wa Wayahudi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Viongozi wa makuhani wa Kiyahudi wakamwambia Pilato, “Usiandike, ‘Mfalme wa Wayahudi.’ Bali andika, ‘Mtu huyu alisema, Mimi ni Mfalme wa Wayahudi.’”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, makuhani wakuu wakamwambia Pilato, “Usiandike: Mfalme wa Wayahudi, ila Yeye alisema, Mimi ni Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, makuhani wakuu wakamwambia Pilato, “Usiandike: ‘Mfalme wa Wayahudi,’ ila ‘Yeye alisema, Mimi ni Mfalme wa Wayahudi.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa makuhani wa Wayahudi wakapinga, wakamwambia Pilato, “Usiandike, ‘Mfalme wa Wayahudi,’ bali andika kwamba, mtu huyu alisema, ‘Mimi ni mfalme wa Wayahudi.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa makuhani wa Wayahudi wakapinga, wakamwambia Pilato, “Usiandike ‘Mfalme wa Wayahudi,’ bali andika kwamba mtu huyu alisema yeye ni mfalme wa Wayahudi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakuu wa makuhani na Wayahudi wakamwambia Pilato, Usiandike, Mfalme wa Wayahudi; bali ya kwamba yule alisema, Mimi ni mfalme wa Wayahudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, makuhani wakuu wakamwambia Pilato, “Usiandike: ‘Mfalme wa Wayahudi,’ ila ‘Yeye alisema, Mimi ni Mfalme wa Wayahudi.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji wakuu wa Wayuda walipomwambia Pilato: Usiandike: Mfalme wa Wayuda, ila: Huyu amesema: Mimi ni mfalme wa Wayuda!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakuu wa makuhani na Wayahudi wakamwambia Pilato, Usiandike, Mfalme wa Wayahudi; bali ya kwamba yule alisema, Mimi ni mfalme wa Wayahudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi wakubwa wa makuhani wa Wayuda wakamwambia Pilato: “Usiandike: ‘Mufalme wa Wayuda,’ lakini uandike hivi: ‘Mutu huyu alisema, Mimi ni Mufalme wa Wayuda!’ ”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi makuhani wakuu wa Wayahudi wakamwambia Pilato, Usiandike, Mfalme wa Wayahudi; hali ya kwamba yule alisema, Mimi mfalme wa Wayahudi.