John 19:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, askari walikwenda, wakaivunja miguu ya yule mtu wa kwanza na yule wa pili ambao walikuwa wamesulubiwa pamoja na Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo askari wakaenda wakavunja miguu ya mtu wa kwanza aliyesulubiwa pamoja na Isa, na ya yule mwingine pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili, aliyesulibiwa pamoja naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa hiyo askari wakaja na kuivunja miguu ya watu wale wawili kwenye misalaba kando ya Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, askari walikwenda, wakaivunja miguu ya yule mtu wa kwanza na yule wa pili ambao walikuwa wamesulubiwa pamoja na Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, askari walikwenda, wakaivunja miguu ya yule mtu wa kwanza na yule wa pili ambao walikuwa wamesulubiwa pamoja na Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo maaskari wakaenda wakavunja miguu ya mtu wa kwanza aliyesulibiwa pamoja na Yesu na yule mwingine pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo askari wakaenda wakavunja miguu ya mtu wa kwanza aliyesulubiwa pamoja na Isa na yule mwingine pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili, aliyesulubiwa pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, askari walikwenda, wakaivunja miguu ya yule mtu wa kwanza na yule wa pili ambao walikuwa wamesulubiwa pamoja na Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaja askari, wakawavunja miguu wa kwanza na wa pili, waliowambwa misalabani pamoja naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili, aliyesulibiwa pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi waaskari walikuja, wakavunja miguu ya mutu wa kwanza na kisha miguu ya yule wa pili aliyetundikwa pamoja na Yesu juu ya musalaba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi askari wakaenda, wakamvunja miguu wa kwanza, na wa pili aliyesulibiwa pamoja nae.
Recommended Reading