John 19:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini walipomfikia Yesu, waliona kwamba alikwisha kufa, kwa hivyo hawakumvunja miguu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini walipomkaribia Isa, wakaona ya kuwa amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini askari walipomkaribia Yesu, wakaona kuwa tayari alikuwa amekwisha kufa. Hivyo hawakuivunja miguu yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini walipomfikia Yesu waliona kwamba alikwisha kufa, na hivyo hawakumvunja miguu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini walipomfikia Yesu, waliona kwamba alikwisha kufa, kwa hivyo hawakumvunja miguu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini walipomkaribia Yesu, wakaona ya kuwa amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini walipomkaribia Isa, wakaona ya kuwa amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini walipomfikia Yesu, waliona kwamba alikwisha kufa, kwa hivyo hawakumvunja miguu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walipofika kwa Yesu, wakiona, ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini walipofika kwenye Yesu, walikuta amekwisha kufa; kwa hiyo hawakumuvunja miguu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walipomjia Yesu, wakiona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu;