John 19:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini askari mmoja alimtoboa ubavuni kwa mkuki, na mara ikatoka damu na maji. (
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake mmoja wa wale askari akamchoma mkuki ubavuni, na mara pakatoka damu na maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki; na mara ikatoka damu na maji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mmoja wa askari akauchoma ubavu wa Yesu kwa mkuki wake. Mara hiyo hiyo damu na maji vikamtoka mwilini mwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini askari mmoja alimtoboa ubavuni kwa mkuki, na mara ikatoka damu na maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini askari mmoja alimtoboa ubavuni kwa mkuki, na mara ikatoka damu na maji. (
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake mmoja wa wale maaskari akamchoma mkuki ubavuni na mara pakatoka damu na maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake mmoja wa wale askari akamchoma mkuki ubavuni na mara pakatoka damu na maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki; na mara ikatoka damu na maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini askari mmoja alimtoboa ubavuni kwa mkuki, na mara ikatoka damu na maji. (
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila askari mmoja akamchoma mkuki ubavuni, mara ikatoka damu na maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki; na mara ikatoka damu na maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini askari mumoja akamuchoma mukuki katika ubavu; mara moja damu na maji vikatoka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
lakini askari mmoja kwa mkuki alimchoma ubavu, ikatoka marra damu na maji.