John 2:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa katika muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku tatu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakajibu, “Watu walifanya kazi kwa miaka 46 kulijenga Hekalu hili! Je, ni kweli unaamini kwamba unaweza kulijenga tena kwa siku tatu?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku tatu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arubaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda wakasema: Jumba hili la Mungu lilijengwa kwa miaka 46, nawe utalijenga kwa siku tatu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Wayahudi wakasema, Hekalu hili lilijengwa katika muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku tatu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wayuda wakamwambia: “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka makumi ine na sita, nawe utalijenga tena katika siku tatu?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi Wayahudi wakasema, Hekalu hii ilijengwa katika muda wa miaka arubaini na sita, nawe utaisimamisha kwa siku tatu?