John 2:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Isa hakujiaminisha kwao, kwa sababu aliwajua wanadamu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Yesu hakujiaminisha kwao; kwa kuwa yeye aliwajua wote;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu hakuwaamini wao, kwa sababu alijua jinsi watu wote wanavyofikiri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Yesu hakujiaminisha kwao kwa sababu aliwajua wanadamu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Isa hakujiaminisha kwao kwa sababu aliwajua wanadamu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Yesu hakujiaminisha kwao; kwa kuwa yeye aliwajua wote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yesu hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yesu mwenyewe hakuwategemea, kwamba wanamtegemea, kwani yeye aliwatambua wote;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Yesu hakujiaminisha kwao; kwa kuwa yeye aliwajua wote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu hakuwaaminia kwa sababu aliwajua wote vizuri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini Yesu hakujiaminisha kwao, kwa kuwa yeye aliwajua wote;