John 2:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Divai ilipokwisha, mama yake Isa akamwambia, “Wameishiwa na divai.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hapo arusini divai ilipungua, mama yake Yesu akamwambia mwanaye, “Hawana divai ya kutosha.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Divai ilipokwisha, mama yake Yesu akamwambia, “Wameishiwa na divai.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Divai ilipokwisha, mama yake Isa akamwambia, “Wameishiwa na divai.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata divai ilipowaishia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mvinyo ilipopunguka, mamake Yesu akamwambia: Hawana mvinyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata divai ilipowatindikia, mamaye Yesu akamwambia, Hawana divai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati divai ilipomalizika, mama ya Yesu akamwambia: “Hawana divai tena.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta divai ilipowatindikia, mama yake Yesu akamwambia, Hawana divai.