John 2:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi hadi juu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza hata juu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawaambia wale wahudumu, “Ijazeni maji hiyo mitungi.” Nao wakaijaza maji mpaka juu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi mpaka juu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi mpaka juu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akawaambia, Jazeni mabalasi maji. Nao wakayajaza mpaka juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akawaambia: Ijazeni mitungi maji! Walipokwisha kuijaza mpaka juu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza hata juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawaambia watumishi: “Mujaze mitungi hii na maji.” Nao wakaijaza kabisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Wakayajaliza hatta juu.