John 20:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Isa amesimama, lakini hakumtambua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akiisha kusema hayo, akageuka nyuma, akamwona Yesu amesimama, asijue ya kuwa ni Yesu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati Mariamu aliposema hivi, akageuka nyuma na kumwona Yesu amesimama pale. Lakini hakujua kuwa huyo alikuwa ni Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Yesu amesimama, lakini hakumtambua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kusema hayo, akageuka, akamwona Isa amesimama, lakini hakumtambua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akiisha kusema hayo, akageuka nyuma, akamwona Yesu amesimama, asijue ya kuwa ni Yesu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona Yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoyasema hayo akageuka nyuma, akamwona Yesu, amesimama, lakini hakujua, ya kuwa ndiye Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akiisha kusema hayo, akageuka nyuma, akamwona Yesu amesimama, asijue ya kuwa ni Yesu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipokwisha kusema maneno haya, akageuka nyuma, akamwona Yesu akisimama pale, lakini hakutambua kwamba ni yeye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Alipokwisha kusema haya, akageuka nyuma, akamwona Yesu amesimama, asijue ya kuwa ni Yesu.