John 20:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo Maria Magdalene akaenda akawapasha habari wale wanafunzi kuwa amemwona Bwana, na kwamba alikuwa amemwambia hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Mariamu Magdalene akaenda kuwatangazia wanafunzi wa Isa, akisema, “Nimemwona Bwana!” Naye akawaambia kwamba Isa alikuwa amemweleza mambo hayo yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mariamu Magdalene akaenda, akawapasha wanafunzi habari ya kwamba, Nimemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia hayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mariamu Magdalena akaenda kwa wafuasi na kuwaambia, “Nimemwona Bwana!” Naye akawaeleza yale Yesu aliyomwambia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo Maria Magdalene akaenda akawapa habari wale wanafunzi kuwa amemwona Bwana, na kwamba alikuwa amemwambia hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo Maria Magdalene akaenda akawapasha habari wale wanafunzi kuwa amemwona Bwana, na kwamba alikuwa amemwambia hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Maria Magdalene akaenda kuwatangazia wanafunzi wa Yesu akisema, “Nimemwona Bwana!” Naye akawaambia kwamba amemweleza mambo hayo yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Maria Magdalene akaenda kuwatangazia wanafunzi wa Isa, akisema, “Nimemwona Bwana!” Naye akawaambia kwamba Isa alikuwa amemweleza mambo hayo yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mariamu Magdalene akaenda, akawapasha wanafunzi habari ya kwamba, Nimemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo Maria Magdalene akaenda akawapasha habari wale wanafunzi kuwa amemwona Bwana, na kwamba alikuwa amemwambia hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maria Magadalene akaenda, akawasimulia wanafunzi: Nimemwona Bwana, tena hayo ndiyo, aliyoniambia.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mariamu Magdalene akaenda, akawapasha wanafunzi habari ya kwamba, Nimemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Maria wa Magdala akaenda kuwapasha wanafunzi habari kama amemwona Bwana, na kwamba amemwambia maneno hayo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mariamu Magdalene akaenda akawapasha wanafunzi khabari ya kwamba amemwona Bwana, na ya kwamba amemwambia haya.