John 20:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akainama na kuchungulia mle kaburini, akaona vile vitambaa vya kitani, lakini hakuingia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akainama na kuchungulia, akaona vitambaa vya sanda vimelala; lakini hakuingia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alipofika akainama chini na kuchungulia ndani ya kaburi. Humo akaviona vipande vya nguo za kitani vikiwa pale chini, lakini hakuingia ndani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipofika, akainama na kuchungulia mle kaburini, akaona vile vitambaa vya kitani vilivyokuwa sanda mle ndani, lakini hakuingia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipofika, akainama na kuchungulia mle kaburini, akaona vile vitambaa vya kitani mle ndani, lakini hakuingia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akainama na kuchungulia, akaona vitambaa vya sanda vimelala; lakini hakuingia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akainama, akachungulia, akaiona sanda, imewekwa, lakini hakuingia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akainama na kuchungulia, akaona vitambaa vya sanda vimelala; lakini hakuingia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye akainama na kuchungulia ndani yake, akaona vitambaa vimewekwa pembeni, lakini hakuingia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akainama, akaviona vitambaa vimewekwa; illakini hakuingia.