John 20:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Simoni Petro akaja akimfuata nyuma, akaingia ndani ya kaburi. Naye akaona vile vitambaa vya ile sanda vikiwa pale chini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akaja na Simoni Petro, akaingia ndani ya kaburi; akavitazama vitambaa vilivyolala,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hatimaye Simoni Petro akafika kaburini na kuingia ndani. Naye aliviona vipande vile vya nguo za kitani vikiwa chini mle ndani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Simoni Petro akaja, akimfuata nyuma akaenda moja kwa moja hadi ndani ya kaburi. Naye akaona vile vitambaa vya ile sanda vikiwa pale chini
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Simoni Petro akaja, akimfuata nyuma akaenda moja kwa moja hadi ndani ya kaburi. Naye akaona vile vitambaa vya ile sanda vikiwa pale chini
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akaja na Simoni Petro, akaingia ndani ya kaburi; akavitazama vitambaa vilivyolala,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Simoni Petero akafika akimfuata, akaingia kaburini, akaiona sanda, imewekwa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akaja na Simoni Petro, akaingia ndani ya kaburi; akavitazama vitambaa vilivyolala,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Simoni Petro akafika nyuma yake na kuingia ndani ya kaburi. Akaona vitambaa vimewekwa pembeni,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi akaja na Simon Petro, akimfuata, akaingia kaburini; akavitazama vitambaa vimewekwa,