John 20:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha yule mwanafunzi mwingine aliyetangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaamini. (
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yule mwanafunzi aliyetangulia kufika kaburini akaingia ndani, akaona, na akaamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ndipo alipoingia naye yule mwanafunzi mwingine aliyekuwa wa kwanza wa kufika kaburini, akaona na kuamini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha mfuasi mwingine, yule aliyefika kwanza kaburini, akaingia ndani. Yeye aliona yaliyotokea na akaamini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha yule mwanafunzi mwingine aliyemtangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaaamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha yule mwanafunzi mwingine aliyetangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaamini. (
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha yule mwanafunzi aliyetangulia kufika kaburini naye akaingia ndani, akaona, akaamini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yule mwanafunzi aliyetangulia kufika kaburini naye akaingia ndani, akaona, akaamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ndipo alipoingia naye yule mwanafunzi mwingine aliyekuwa wa kwanza kufika kaburini, akaona na kuamini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha yule mwanafunzi mwingine aliyetangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaamini. (
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipoingia naye yule mwanafunzi mwingine aliyefika wa kwanza penye kaburi, akaviona, akavisadiki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ndipo alipoingia naye yule mwanafunzi mwingine aliyekuwa wa kwanza wa kufika kaburini, akaona na kuamini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yule mwanafunzi mwingine aliyetangulia kwenye kaburi akaingia vilevile. Akapata kujionea na kuamini.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi ndipo akaingia nae mwanafunzi yule mwingine aliyekuwa wa kwanza wa kufika kaburini, akaona, akaamini.