John 20:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walikuwa bado hawajaelewa Maandiko Matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka kwa wafu).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Kwa kuwa hadi wakati huo walikuwa bado hawajaelewa kutoka Maandiko kwamba ilikuwa lazima Isa afufuke kutoka kwa wafu.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hawajalifahamu bado andiko, ya kwamba imempasa kufufuka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
(Wafuasi hawa walikuwa bado hawajayaelewa yale Maandiko kwamba Yesu alipaswa kufufuka kutoka wafu.)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
(Walikuwa bado hawajaelewa Maandiko Matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka wafu).
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walikuwa bado hawajaelewa Maandiko Matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka kwa wafu).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(kwa kuwa mpaka wakati huo walikuwa bado hawajaelewa yale maandiko kwamba ilikuwa lazima Yesu afufuke kutoka kwa wafu).
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Kwa kuwa mpaka wakati huo walikuwa bado hawajaelewa kutoka Maandiko kwamba ilikuwa lazima Isa afufuke kutoka kwa wafu).
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana hawajalifahamu bado andiko, ya kwamba imempasa kufufuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walikuwa bado hawajaelewa Maandiko Matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka kwa wafu).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hawajayajua bado yaliyoandikwa kwamba: Imempasa kufufuka katika wafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hawajalifahamu bado andiko, ya kwamba imempasa kufufuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Ilikuwa vile kwa maana wanafunzi walikuwa hawajaelewa bado Maandiko Matakatifu yanayosema kwamba Yesu anapaswa kufufuka.)
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana hawajalifahamu andiko bado, kwamba imempasa kufufuka.