John 21:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akaja, akachukua ule mkate, akawapa, na vivyo hivyo akawagawia wale samaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na samaki vivyo hivyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akatembea ili kuchukua mikate na kuwapa. Akawapa samaki pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akaja, akatwaa mkate akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akaja, akachukua ule mkate, akawapa na vivyo hivyo akawagawia pia wale samaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Isa akaja, akachukua ule mkate, akawapa na vivyo hivyo akawagawia pia wale samaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na samaki vivyo hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yesu akaenda, akautwaa mkate, akawagawia, na kitoweo vilevile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na samaki vivyo hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akawajongelea, akatwaa mukate, akawagawanyia; na kuwapa samaki vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na kitoweo vivyo hivyo.