John 21:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna mambo mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo kama yangeandikwa yote, moja baada ya lingine, nadhani hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kuna mambo mengine mengi ambayo Isa alifanya. Kama yote yangeandikwa, nadhani hata ulimwengu wote haungekuwa na nafasi ya kutosha kuweka vitabu ambavyo vingeandikwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuna mambo mengine mengi aliyoyafanya Yesu. Kama kila moja ya hayo yote yangeandikwa, nafikiri ulimwengu wote usingevitosha vitabu ambavyo vingeandikwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kuna mambo mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo kama yangeandikwa yote, moja baada ya lingine, nadhani hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna mambo mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo kama yangeandikwa yote, moja baada ya lingine, nadhani hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kuna mambo mengine mengi ambayo Yesu alifanya. Kama yote yangeliandikwa, nadhani hata ulimwengu wote usingekuwa na nafasi ya kutosha kuweka vitabu vyote ambavyo vingeandikwa. Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kuna mambo mengine mengi ambayo Isa alifanya. Kama yote yangeliandikwa, nadhani hata ulimwengu wote usingekuwa na nafasi ya kutosha kuweka vitabu vyote ambavyo vingeandikwa. Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna mambo mengine mengi aliyofanya Yesu, ambayo kama yangeandikwa yote, moja baada ya lingine, nadhani hata ulimwengu wenyewe usingetosha kuviweka vitabu ambavyo vingeandikwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yako hata mengine mengi, Yesu aliyoyafanya. Nayo kama yangaliandikwa moja moja, nadhani, ulimwengu wote usingevitoshea vitabu vitakavyoandikwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna mambo mengine mengi Yesu aliyofanya. Lakini yote yangeandikwa moja kwa moja, ninazani hata dunia nzima haingetosha kwa kuwekea vitabu ambavyo vingeandikwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kuna na mengine mengi aliyoyafanya Yesu, nayo yakiandikwa moja moja, nadhani hatta ulimwengu wote usingetosha kwa vitabu vitakavyoandikwa. Amin.