John 21:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipofika ufuoni, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake, na mikate.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi waliposhuka pwani, wakaona huko moto wa makaa, na juu yake pametiwa samaki, na mkate.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walipotoka kwenye mashua na kuingia kwenye maji, wakaona moto wenye makaa yaliokolea sana. Ndani ya moto huo walikuwemo samaki na mikate pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipofika pwani, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake na mikate.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipofika ufuoni, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake na mikate.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi waliposhuka pwani, wakaona huko moto wa makaa, na juu yake pametiwa samaki, na mkate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliposhuka pwani wakaona: moto wa makaa ulikuwa umewashwa, navyo visamaki vilikuwa vimewekwa juu pamoja na mkate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi waliposhuka pwani, wakaona huko moto wa makaa, na juu yake pametiwa samaki, na mkate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipofika inchi kavu wakaona mukate na samaki zinazokuwa juu ya moto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi waliposhuka pwani, wakaona moto wa makaa huko, na kitoweo kimetiwa juu yake, na mkate.