John 3:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamwambia, “Wewe ni mwalimu wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akasema, “Wewe ni mwalimu mashuhuri wa Israeli, inakuwaje huelewi mambo haya?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israel na huyajui mambo haya?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamwambia, “Wewe ni mwalimu mashuhuri wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamwambia, “Wewe ni mwalimu mashuhuri wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akajibu, akamwambia: Je? Wewe u mfunzi wa Isiraeli, tena haya huyatambui?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akamujibu: “Wewe unayekuwa mwalimu mukubwa katika inchi ya Israeli, haujui maneno haya?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akajibu akamwambia, Je! Wewe u mwalimu katika Israeli, na haya huyafahamu?