John 3:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ubishi ulitokea kati ya baadhi ya wanafunzi wa Yohane na Myahudi mmoja kuhusu desturi za kutawadha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mashindano yakazuka kati ya baadhi ya wanafunzi wa Yahya na Myahudi mmoja kuhusu suala la desturi ya kunawa kwa utakaso.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja juu ya utakaso.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya wafuasi wa Yohana walikuwa na mabishano pamoja na Myahudi mwingine juu ya utakatifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ubishi ulitokea kati ya baadhi ya wanafunzi wa Yohane na Myahudi mmoja kuhusu desturi za kutawadha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ubishi ulitokea kati ya baadhi ya wanafunzi wa Yohane na Myahudi mmoja kuhusu desturi za kutawadha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mashindano yakazuka kati ya baadhi ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja kuhusu suala la desturi ya kunawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mashindano yakazuka kati ya baadhi ya wanafunzi wa Yahya na Myahudi mmoja kuhusu suala la desturi ya kunawa kwa utakaso.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja juu ya utakaso.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ubishi ulitokea kati ya baadhi ya wanafunzi wa Yohane na Myahudi mmoja kuhusu desturi za kutawadha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, wanafunzi wa Yohana walipobishana na Myuda kwa sababu ya maosho,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja juu ya utakaso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulitokea mabishano kati ya wanafunzi wa Yoane na Muyuda mumoja juu ya desturi zao za kujitakasa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Wayahudi katika khabari ya utakaso.